Unknown Unknown Author
Title: PICHA INASIKITISHA TRAFIC AGONGWA:AJALI NI JANGA SUGU!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Askari wa usalama barabarani, aliyejulikana kwa jina la Riziki, WP 2806 Cpl Riziki, akiwa hoi baada ya kugongwa na daladala aina ya DCM wak...

Askari wa usalama barabarani, aliyejulikana kwa jina la Riziki, WP 2806 Cpl Riziki, akiwa hoi baada ya kugongwa na daladala aina ya DCM wakati akiwa katika harakati za kutimiza majukumu ya kazi eneo la Mbagala Rangi Tatu, leo asubuhi.

Habari zinasema kuwa baada ya ajali hiyo, askari huyo alikimbizwa katika hospitali ya Temeke na baadaye kuhamishiwa hospitali ya Muhimbili na hali yake inaendelea vizuri.

ILANI TOKA MJUMBE BLOG

Ndugu Mwana nchi Ulinzi na Usalama wa Raia nchini ni jukumu la kila Mwananchi!
KEMEA UZEMBE WA MADEREVA;OKOA UHAI WAKO NA WAWENZAKO!
Ili Uwe Shujaa wa Kweli.

©Mjumbe Blog Volunteers

posted from Bloggeroid

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top