Unknown Unknown Author
Title: HII HAPA NDIYO PICHA YA MWALIM KITILA MKUMBO ILIYOZUA UTATA MTANDAONI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Masaa Machache tu baada ya Mhadhiri Nguri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kukaririwa akisema kuwa: "Usiweke tu picha inayo onesha kio...
Masaa Machache tu baada ya Mhadhiri Nguri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kukaririwa akisema kuwa:

"Usiweke tu picha inayo onesha kiongozi akihutubia
haitoshi.Tuambie alitoa hoja gani katika Mkutano huo.Hizi ni zama za siasa za Hoja,Fikra.






Picha ya Pro Kitila Mkumbo na Mkewe

Mara baada ya kuweka Picha hiyo hapo Kijana aliye onekana kuwa mfuatiliaji Mzuri wa Nasaha na Falsafa za Guru huyo alidokeza Kionjo cha kichokozi kwa Kusema

'Dr Kitila Usiishie kuweka picha tu tuambie huyu ni nani na nini Kime wafurahisha'

Nguli Huyo ambaye ni Muhadhiri wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam ali jibu Uchokonozi wa Kijana huyo kwa Kusema

"Hii ni Profile picha tofauti kabisa na Hoja yangu ya Jana"

Mwalimu Kitila Mkumbo Amekuwa akijizolea Umaarufu na Heshima mitandaoni Kutokana na Makala zake zinazo onesha kukinzana na mawazo ya kukariri au kimazoea ndani ya jamii yake! Zaidi ya yote Itikadi yake kisiasa imewafanya wafuatiliaji wake wengi wa Maandiko yake kushindwa kutofautisha kati ya tofauti zao kisiasa na Mawazo ya Msingi ya Mwalim Kitila Mkumbo ambayo amekuwa akiyatoa mara kwa mara! Jambo ambalo lime kuwa liki zua majibizano ya vuta niku vute kati ya Guru huyo wa Falsafa na Wachangiajo wake kwenye Uzi/ukurasa wake kila siku!

Maelezo na Picha Hisani ya MJUMBE wetu.

©Mjumbe Blog Volunteers

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top