Unknown Unknown Author
Title: MUAMAR GADAFI:ALI PINDULIWA NA WATUMIA MADAWA NA WANA MGAMBO!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Vijana wana mapinduzi warishiriki Katika mapinduzi ya kumuondoa Madarakani Kiongozi wa muda mrefu nchini Libya Muamar Gadafi! Walikuwa si...


Vijana wana mapinduzi warishiriki Katika mapinduzi ya kumuondoa Madarakani Kiongozi wa muda mrefu nchini Libya Muamar Gadafi!
Walikuwa sio katika hali yao ya kawaida bali walikuwa wame tumia madawa ya kulevya huku wakiwatumia wana mgambo wa Kiislam wa Alcqaeda.
Kiongozi huyo wa kiimla hata hivyo alikuwa alikuwa hayuko tayari Kuachia madaraka kwa Miaka zaidi ya 40! Alipambana kwa hali zote na waandamanaji tangu Februari 2011 na kusababisha wengi kupoteza Maisha yao.
Chanzo:DW kiswahili



LIKE ukurasa wa MJUMBE BLOG facebook au Tutembelee Mtandaoni kwa Kuandika neno MJUMBE BLOG kisha ingia hapo Upate Picha,Matangazo,Habari Mpya na Taarifa Muhimu kila mara.

Mjumbe Blog Volunteers.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top