
Naibu Waziri wa zamani wa Afya, Dk. Lucy Nkya.
Naibu Waziri wa zamani wa Afya na mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Lucy Nkya, amerushiana risasi za moto na mwanae wa kumzaa, Jonas Nkya ndani ya ofisi zao mkoani Morogoro muda huu.
HABARI:
DUSTAN SHEKIDELE,
MOROGORO,GPL
Chanzo ni Mzozo wa Kifamilia.
Lakini Mtoto wa Mbunge huyo amekaririwa akikanusha tukio hilo!
Taarifa zaidi kuhusu tukio hili zita wajia,Tuna endelea kulifuatilia ili kujua kwa Undani zaidi.
LIKE ukurasa wetu MJUMBE BLOG Facebook au Tutembelee Mtandaoni kwa kuandika MJUMBE BLOG Kisha kuingia hapo upate Picha,Matangazo,Habari Mpya na Matukio Muhimu.
©Mjumbe Blog Volunteers
Post a Comment