Unknown Unknown Author
Title: PHD YA DR DIAMOND YA OTA MBAWA;UDSM YATOA TAMKO!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekanusha uvumi kuhusu kumtunuku msanii Diamond Platnumz shahada ya uzamivu (PhD) katika mahafali yake ya 4...
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekanusha uvumi kuhusu kumtunuku msanii Diamond Platnumz shahada ya uzamivu (PhD) katika mahafali yake ya 44 yatakayofanyika Mlimani City, Novemba 8 jijini Dar es Salaam.Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimekanusha ujumbe uliopo katika mitandao ya kijamii ambao unadai kuwa msanii wa kizazi kipya Naseeb Abdul maarufu kama Diamond atanukiwa Shahada ya Uzamivu ya heshima katika mahafali ya 44 yanayotarajiwa kufanyika Novemba 8.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top