
Mwili wa Prof Ali Mazrui Umehifadhiwa Katika Nyumba yake ya kudumu katika Makaburi ya Fort Jesus,Mara baada ya Kuwasiri jana nchini Kenya Ukitokea Nchini Marekani aliko kuwa aki ishi Mpaka Umauti ulipo Mfika.
MWENYEZI MUNGU AILAZE PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEM;
AMIN.
"Roho za Wanazuoni Hazifi hata kama viwili wili vyao vipo katika Mchanga"
Zanurjyi
LIKE ukurasa wetu wa MJUMBE BLOG facebook au Tutembelee Mtandaoni Kwa kuandika MJUMBE BLOG kisha ingia hapo Upate Picha,Matangazo,Habari Mpya na Taarifa Muhimu.
©Mjumbe Blog Volunteers.
Post a Comment