
Maporomoko ya Maji yanayo patikana katika hifadhi ya Kilimanjaro!

Hifadhi ya Mazingira na uoto wa asili katika hifadhi ya Kilimanjaro!

Jiorodheshe kwanza kabla hauja anza Utalii,hii ni kwa faida yako
Na Usalama wako pia.

Hapa ndipo wana paita Multiple Choice (Machagulio) muna amua muanzie wapi na kuhitimishia wapi

Eenheee twende zetu! Wavaa viatu.

Hans Meyer Mweupe/Mzungu wa kwanza kujitwalia Miliki ya kilele cha Mlima Kilimanjaro!

Mtiriko wa maji unao hifadhi uoto wa Asili unavutia.
Wa Swahili wana msemo kuwa 'tembea uone'!
MJUMBE BLOG Tuna Amini kuwa ni Mwenye Uwezo wa Hali na Mali,mweredi na Mwenye Ufahamu Mkubwa anaye weza aka Tembea Umbali Mrefu kutoka Mazingira yake asilia ya kila siku na kwenda Kuishi au Kutembelea Maeneo ambayo naye ataitwa Mgeni na Wenyeji wake! "Mtalii" Ina Hitaji Uwe na Exposure kubwa Mno ,Elimu ya Chuo kikuu pekee haitoshi kufanikisha hilo!
Ni Fahari iliyoje????
Naam;
Nisafari ya Kutoka Rukwa Sumbawanga Mpaka Kilimanjaro!
Na kuna Elimu kubwa zaidi inayo patikana katika Kutembea kuliko Kukaa kusubiri Nguli Mmoja aje Darasani akufundishe ilu Uelimike!
Ni katika kutembea tunajifunza kwa KUTAZAMA! KUTENDA! KUSHIRIKI! KUINGILIANA(KUJAMIANA)!
Utalii huu unatakiwa uanzie katika ngazi ya familia,Shuleni,Kazini na hata katika Nyumba za ibada zetu!
Hii sio tu itapanua wigo wa uelewa miongoni mwetu bali pia ita kuwa ni kuvijengea vizazi vijavyo Utamaduni wa kuto Jiwekea Mipaka ya Upeo wao na Kutembea kwa Upana wa Msambao wa ndugu na jamaaa.
Badala yake waweze Kwenda popote pale! Wakati wowote ili sio tu Kuishi kwa Uhuru bali kuhakikisha Wanakuwa Chanzo cha Umoja na Mshikamano wa Taifa na raia wake!
"Na pia;Mtembea bure sio sawa na Mkaa bure."
Asante ya Picha zote Mdau Mwenza wa MJUMBE BLOG Mtandaoni "Mosi Q!"
LIKE ukurasa wetu MJUMBE BLOG facebook au Tutembelee Mtandaoni kwa kuandika MJUMBE BLOG ili uendelee Kuzipata Picha,Habari mpya,Taarifa na Matangazo Mbali mbali!
©Mjumbe Blog Volunteers.
"Na pia;Mtembea bure sio sawa na Mkaa bure."
Asante ya Picha zote Mdau Mwenza wa MJUMBE BLOG Mtandaoni "Mosi Q!"
LIKE ukurasa wetu MJUMBE BLOG facebook au Tutembelee Mtandaoni kwa kuandika MJUMBE BLOG ili uendelee Kuzipata Picha,Habari mpya,Taarifa na Matangazo Mbali mbali!
©Mjumbe Blog Volunteers.
Post a Comment