Unknown Unknown Author
Title: BODA BODA AUAWA NA KUPOLWA PIKIPIKI MAKOKOLA!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mauji ya waendesha pikipiki maarufu kama BODA BODA,huko makokola ambako wiki tatu zilizo pita kulitokea tukio kama hilo. Kijana huyo aliye...

Mauji ya waendesha pikipiki maarufu kama BODA BODA,huko makokola ambako wiki tatu zilizo pita kulitokea tukio kama hilo.
Kijana huyo aliye tajwa kwa jina la Deogratiasi Fransisi(18),ame tajwa na Kamanda wa polisi;ame kutwa ame uawa Usiku wa Jana na mwili wake kutelekezwa meaneo hayo ambapo pikipiki yake ime polwa pia.



LIKE page yetu MJUMBE BLOG facebook au Tutembelee mtandaoni kila mara ili Uji Update zaidi.


©Mjumbe Blog Volunteers

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top