Unknown Unknown Author
Title: BURKNAFASO WAKI SAFISHA BARABARA BAADA YA BLAISE CAMPAORE KUONDOLEWA MADARAKANI!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Wananchi wakiwa wana safisha mitaa baada ya vuguvugu la kumung'oa Madarakani Rais Campaore kukamilika. Sanamu ya Aliye kuwa Rais w...

Wananchi wakiwa wana safisha mitaa baada ya vuguvugu la kumung'oa Madarakani Rais Campaore kukamilika.




Sanamu ya Aliye kuwa Rais wa Burknafaso Blaise Campaore ikiwa ime angushwa chini na wa andamanaji.


Ni vuguvugu ambalo lilidumu kwa siku kadhaa ambapo Wananchi wakiwa wame jitokeza Kushinikiza Rais wa Taifa la Burk nafaso ang'oke!
Maandamano hayo yali sababisha Uhalibifu mkubwa ikiwemo wa miundo mbinu na Hata kuchoma baadhi ya Majengo ya serikari likiwemo lililo kuwa jengo la Bunge la Burknafaso na Kituo cha Matangazo!

Katika hali iliyo shangaza;Wananchi hao leo wame jitokeza barabarani na kuanza kusafisha Upya Miundo mbinu hiyo jambo ambalo kwa baadhi ya Wananchi wame litaja kama la kishujaa na Kizalendo zaidi.

Chanzo:The New Vision


LIKE ukurasa wetu MJUMBE BLOG facebook au Tutembelee Mtandaoni kwa kuandika MJUMBE BLOG kisha ingia hapo Upate Picha,Matangazo,Habari Mpya,Taarifa Muhimu kila mara.


©Mjumbe Blog Volunteers

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top