
Hali ya Upendo Peneza ina endelea vema.
Akiwa bado yupo hospitalini akiuguza Majeraha ya ajali;
Ame washukuru Wa Tanzania kwa kumtakia kheri ya kupona na kurejea katika hali yake ya kawaida,pia anashukuru kwa Maombi yenu wote.
TUENDELEE KUMWOMBEA ILI APONE.
Tuna shukuru kwa kututembelea.
©Mjumbe Blog Volunteers
Post a Comment