Unknown Unknown Author
Title: KAMA LAETORI YA MIAKA MILLION MIA TATU ILIYO PITA;KAMA TANZANIA YA LEO!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ingekuwa nina fanya Utafiti Ningesema ni "SERENDIPITY"! Yaani una elekea kununua TANZANITE,Ghafla una okota kipande cha dhahabu!! ...
Ingekuwa nina fanya Utafiti Ningesema ni "SERENDIPITY"! Yaani una elekea kununua TANZANITE,Ghafla una okota kipande cha dhahabu!! Hata hii ya UNYAYO pia ni SERENDIPITY. ****************************************************************************************************************************************************************************************************************************************************************** Kuna Msemo nilikutana nao Moshi,Kirimanjaro kwenye gari flani,Ulisomeka "...Cha Muhimu Mguu(Unyayo),Kiatu mbwembwe...".Leo nilipo kuwa napitia Maktaba ya picha Zetu za MJUMBE BLOG nika kutana na Moja ya kumbukumbu adhimu Ulimwenguni ya NYAYO za mwanadamu wa Mwanzo kabisa aliye wahi kuishi nchini,ambazo kopi yake ime hifadhiwa Katika Makumbusho ya Elimu Viumbe Arusha na nili bahatika kuchukua picha yake japo sikuhusianisha kabisa na picha zangu za NYAYO ambazo nilizipiga mwanzoni mwa mwaka 2013,Wilayani Ludewa!! Leo ndio siku niliyo baini Kufanana huko!! Ndipo nilipo upata hata Msemo wa kuwa Kma Laitori ya miaka Million miatatu iliyo pita,Kama Tanzania ya leo!!!
Pichani ni alama za unyayo wa binadamu,Zilizo pigwa picha katika kijiji cha amani,Jimbo la Filikunjombe
Pichani ni alama ya mguu wa Mbwa na uelekeo wake! Hii ni ishara ya Kifugaji,Kiwindaji na uwepo wa makazi ya watu katika mazingira haya!
Pichani juu ni Unyayo wa Ng,ombe ni tofauti kabisa na ule wa punda! Kwa ishara hii ni dhahiri kuwa Hapa kuna jamii ya wafugaji
Pichani juu ni alama za NYAYO zinazo patikana bonde la Laetori,Ngorongoro kama zilivyo hifadhiwa kwa picha katika maktaba ya Makumbusho ya Elimu Viumbe Arusha,
Pichani juu ni MJUMBE/Elasto Mbella akiwa ndani ya Makumbusho ya Elimu Viumbe,Arusha akizitazama NYAYO ambazo ni Kopi ya NYAYO halisi za Mwanadamu ambaye inasemekana aliwahi kuishi Bonde la Laetori miaka milion Mia tatu iliyo pita! Picha ilipigwa na Aloyce Mwambwiga,Mhifadhi wa Makumbusho ya Elimu viumbe makumbusho ya Arusha ****************************************************************************************************************************************************************************************************************************************************************** Picha Zote na MAKTABA ya MJUMBE BLOG

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top