Unknown Unknown Author
Title: KUMRADHI PICHA SIO ZA KIMAADILI:MTU MMOJA AUAWA JIJINI MBEYA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
AAsubuhi ya leo mtu mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja amekutwa kando kando ya mto Ilolo,Uliopo jijini Mbeya akiwa amepoteza mais...
AAsubuhi ya leo mtu mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja amekutwa kando kando ya mto Ilolo,Uliopo jijini Mbeya akiwa amepoteza maisha kutokana na kuvamiwa na watu wasio julikana na kmwili wake kutelekezwa.Ndugu watembeleaji wa MJUMBE BLOG Tuna omba radhi kwa picha hizi zilizo kiuka miiko na maadili ya Jamii yetu;Tuna ziweka hapa ili kama kuna atakaye mtambua atoe taarifa kwenye vyombo vya usalama,kwani hakutambulika mara moja:
Mwili wa marehemu ambao haukuweza kutambulika kwa majina mara moja
Baadhi ya wakazi wa mtaa huo wakishangaa eneo la tukio
Wakazi wa eneo hilo wakiwa katika hali ya Taharuki baada ya kuuona mwili huo ****************************************************************************************************************************************************************************************************************************************************************** majonzi yametawala eneo hilo.picha na Fadhiri Atick mr pengo globu ya jamii mbeya. CHANZO MTAA KWA MTAA.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top