1.Aliwahi kukubali kwamba alisha wahi kutumia cocaine na marijuana akiwa kijana.
2.Kila siku usiku huwasomea wanae vitabu vya hadithi.Ame wasomea wanae vitabu vya Harrypotter pamoja na mwanae Malia.
3.Alimuahidi mke wake ata acha kuvuta Sigara akipata Urais lakini aliacha mwaka 2010 alipo tangaza rasmi kuacha sigara .
4,Hupenda kusikiliza mzika anapo fanya kazi na humsikiliza sana Jay Z na Steve Wonder na Huchat na Msanii Jay Z.
5.Hunyoa nywele zake kila wiki kwa dola 21.Na kinyozi wake anaitwa Zarrif.
6.Ana uwezo wa Kunyanyua kilo 100 akiwa kwenye mazoezi.
7.Kati ya vitu vinavyo muudhi sana,anachukia sana kuona mtu ame valia suruali chini ya kiuno(mlegezo) na kuonesha nguo zake za ndani.
8.Akiwa chuo cha Harvad aliwahi kuomba picha yake ionekane kwenye kalenda ya chuo ilishindikana kwani wanawake wote walio kuwepo kwenye kamati waliipinga picha yake.
9.Alisha wahi kual nyama ya Mbwa,Nyoka,Panzi akiwa Indonesia aliko kulia.
10.Licha ya kupenda mpira wa kikapu,Obama ana miliki pea moja ya gloves zilizo sainiwa na Mohamed Ally.
Tunashukuru kwa kututembelea;
Kwa picha,Habari mpya,Taarifa muhimu kila siku tembelea MJUMBE BLOG Mtandaoni.
MAMBO KUMI USIYO YAJUA KUHUSU BARACK OBAMA!
Title: MAMBO KUMI USIYO YAJUA KUHUSU BARACK OBAMA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
1.Aliwahi kukubali kwamba alisha wahi kutumia cocaine na marijuana akiwa kijana. 2.Kila siku usiku huwasomea wanae vitabu vya hadithi.Am...

Post a Comment