Pichani ni jinsi Magari yalivyo kuwa yame umana mara baada tu ya ajali kutokea
Askari wa usalama barabarani wakiwa eneo la ajali
Uokozi ukiendelea baada ya ajali kutokea kwa msaada wa wasamalia wema
Sehemu ya gari moja wapo iliyo pata ajali WATU kadhaa wamejeruhiwa katika ajali iliyolihusisha Basi la Shalom Express lililokuwa likitokea Sumbawanga - Mbeya lililogonga Coaster iliyokuwa inatokea Mbeya- Tunduma eneo la Sogea, Tunduma jioni hii. Coster lilikuwa likijaribu ku-overtake lori ndipo lilipogongwa na basi hilo. watu 17 wapoteza maisha papo hapo.... Kuna taarifa za majeruhi zaidi kupoteza maisha yao hospitalini,Timu ya MJUMBE BLOG ina endelea kutafuta taarifa rasmi ili kuwajulisha zaidi!! ** Tuna Shukuru kwa kututembelea,MJUMBE BLOG tuna patikana mtandaoni kila mara kwa picha,habari,taarifa na matukio mapya kila siku.posted from Bloggeroid
Post a Comment