Unknown Unknown Author
Title: Ni noma sana aisee:ATABIRI HOTUBA YA RAIS MASAA NANE KABLA!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pichani ni Christian Castro,katika ubora wake Jamaa ni mwandishi wa maada na tungo tata,unaweza uaka pitia uzi wake mwanzo hadi mwisho ...
Pichani ni Christian Castro,katika ubora wake


Jamaa ni mwandishi wa maada na tungo tata,unaweza uaka pitia uzi wake mwanzo hadi mwisho na usiambulie kitu.Ni nadra kukuta ame andika vitu rahisi rahisi vyenye kueleweka kwa wasomaji.Kwangu kama rafiki yangu nasema haelezeki(Complecated);ni mwanadamu halisi ambaye huwezi uka msoma kama Kompyuta/tarakarishi umuelewe kuwa uki bofya shift na p una paste au shift na U una piga mistari...!

Jana masaa nane kabla ya Hotuba ya rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete haja hutubia taifa kupitia wazee wa Dar es Salaam.
Ali andika Mtazamo wake juu ya anacho amini yatakuwa ni mazungumzo makuu katika hotuba yake;Ali ya hariri mazungumzo hayo katika mambo makuu mawili kwa ufupi na ndicho kilicho ongelewa na kuhutubiwa masaa nane badaye!

HONGERA SANA CHRISTIAN!!
YOU MADE My #2014!!
BRAVO sana.
UME TISHA SANA AISEE.
Ndimi;
Elasto


Soma hapa chini kama alivyo kaririwa kwenye ukurasa wake

Bah CriSilly Castro
Nikimsubiri JK
Nayabashiri haya.....

1. Wasiojua maana ya SIASA wakae tuli, leo mh. ataeleza kwa mifano KUNTU siasa za Kiafrika na dhana ya kiitwacho "UWAJIBIKAJI"!
2. Urais si MAHAKAMA, bali ni taasisi inayohitaji kifua kipana kubeba MIZIGO ya watu wote, waliomo na wasiokuwemo!
3. Uliyepewa DHAMANA amepewa MAJUKUMU ambayo yatalinda heshima ya taasisi uliyopewa, tegemea kuona MKWEZI hawezi KUKATA kuti alilokalia!
Mtazamo tu!

MJUMBE BLOG TUNA TOA PONGEZI ZA DHATI KWA CHRISTIAN CASTRO KWA UWEZO WAKE MKUBWA ALIO UONESHA WA KUWEZA KUCHAMBUA KILE AMBACHO RAIS WETU WA NCHI ATAKIONGELEA ZAIDI KATIKA HOTUBA YAKE!
Ni Rahisi Kutabiri mshindi wa mechi! ni rahisi kutabiri Mshindi wa riadha! masumbwi hata Maisha plus....
Lakini kutabiri mkuu wa nchi ataongea nini??
Ni zaidi ya Utabiri! Ni ufahamu wa hali ya juu!! Ni uwezo mkubwa mno usio patikana kwenye vijiwe vya kamari au porojo.Ni zaidi ya Elimu ya darasani.


MJUMBE Sr
Mbeya

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top