1.Ana umri wa miaka 30 tu alivumbua mtandao wa facebook akiwa na umri wa miaka 20! Mark ndiye anaye ishikilia rekodi ya dunia ya kuwa bilionea mdogo kabisa aliyo iweka akiwa na umri wa miaka 23 tu.
2.Mark haamini kabisa kuwa kuna MUNGU!
3.Hajawahi miliki TV(Luninga) maisha yake amekuwa akitumia Komputa tu.
4.Anamatatizo ya kutambua baadhi ya rangi,Rangi yake anayo ipenda ni Bluu na ndiyo sababu facebook ime tawaliwa na rangi hiyo
5.Mara kadhaa ame pigiwa kura kuwa mtu maarufu anaye vaa vibaya zaidi duniani,Mara nyingi amekuwa akivaa T.Shirt na Jinsi au Kaptura na Sandals.Wengi huona kama Hajijali.
6.Una weza kumu Block Mtu yeyote facebook Kasoro yeyetu.Ingia kwenye ukurasa wake http://www.facebook.com/zurk na Ujaribu uone.
7.Mwaka 2009 Mark alivaa tai mwaka mzima kuonesha ni jinsi gani mwaka huo ulikuwa Serious.Baada ya hapo Mark huonekana mara chache sana akiwa ame vaa tai na suti.
8.Akiwa na miaka 13 tu Mark aliweza kutengeneza Mtandao ndani ya nyumba yao ulio kuwa ukiwawezesha kutumiana ujumbe ndani ya nyumba yao.
9.Licha ya Twiter kuwa mshindani namba moja wa Facebook Mark ni mtumiaji wa mtandao huo,pia ana wafuasi.
10.Mwaka 2011 aliamua kuto kula nyama yeyote mpaka awe ame chinja mwenyewe,ni utamaduni wake kila mwaka kujiwekea Challenji moja na kuitekeleza.
Post a Comment