Unknown Unknown Author
Title: KUHUSU JENGO LILILO POROMOKA MJI MKONGWE,ZANZIBAR!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kikosi cha Uokoaji kikitoa huduma ya kwanza kwa majeruhi katika eneo la tukio. Muonekano wa jengo hilo baada ya kuanguka. JENGO moja l...

Kikosi cha Uokoaji kikitoa huduma ya kwanza kwa majeruhi katika eneo la tukio.
Muonekano wa jengo hilo baada ya kuanguka. JENGO moja llililopo eneo la Mji Mkongwe, Zanzibar limeporomoka na kujeruhi watu kadhaa leo majira ya saa tano asubuhi. Idadi kamili ya majeruhi katika ajali hiyo bado haijafahamika. ____________________________________________________________________________________________________________________________________ Credit:~GPL

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top