Unknown Unknown Author
Title: SHUHUDIA PICHA HAPA:AJALI ILIYO HUSISHA MAGARI MATANO,ARUSHA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kuna taarifa zilizo tufikia hivi punde zikiripoti ajali ya mabasi matano iliyo tokea Arusha, Hii ni moja ya picha ikionesha taswira ya aj...

Kuna taarifa zilizo tufikia hivi punde zikiripoti ajali ya mabasi matano iliyo tokea Arusha,
Hii ni moja ya picha ikionesha taswira ya ajali husika
Hizi ni baadhi ya Picha Tulizo tumiwa hivi punde,Hakuna Taarifa ya Vifo iliyo ripotiwa mpaka sasa.Taarifa zaidi Zitakujia kupitia MJUMBE BLOG.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top