Unknown Unknown Author
Title: ALICHO KIANDIKA MWIGULU NCHEMBA BAADA YA KUWEKA PICHA HIZI UKUTANI KWAKE!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Picha ikiwaonesha Katibu mkuu na Mwenyekiti wa CHADEMA wakiwa meza moja na Mhe.Mwigulu Nchemba. Baada ya Kuweka picha hizi hapa Mhe.Mwig...

Picha ikiwaonesha Katibu mkuu na Mwenyekiti wa CHADEMA wakiwa meza moja na Mhe.Mwigulu Nchemba.


Baada ya Kuweka picha hizi hapa Mhe.Mwigulu Nchema amekarieiwa akisema:


"Umoja,Maridhiano na Uzalendo kwa Manufaa ya
Taifa letu"


Picha ikimuonesha Mhe.Mwigulu Nchemba akipeana Mkono na Katibu mkuu wa CHADEMA.

Julius S Mtatiro 
Baada ya kutupia picha hizo kwenye Ukurasa wake naye ame kaririwa akisema:
"Tutofautiane kwa hoja na kwa amani sio kwa Virungu,mabomu na Vipigo"


MJUMBE BLOG
Tunashukuru kwa kututembelea.
06 Feb 2015

About Author

Advertisement

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top