Unknown Unknown Author
Title: HABARI NJEMA MBAYA:ATM ZA KUWEKA FEDHA KUANZA KUTUMIKA DAR!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kuna Taarifa za Benki ya NBC kuweka ATM za Kuweka fedha zitakazo kuwa zinafanya Kazi masaa 24! Zoezi hili limesha anza kutekelezwa kwa ku...

Kuna Taarifa za Benki ya NBC kuweka ATM za Kuweka fedha zitakazo kuwa zinafanya Kazi masaa 24!

Zoezi hili limesha anza kutekelezwa kwa kuweka ATM kadhaa ndani ya jiji la Dar es salaam.

Hizi ni habari njema kwa wateja na wahudumu wa NMB.
Lakini pia ni Tishio la Mashine hizo kutishia ajira za watu wengi nchini kama ilivyo tokea kwenye sekta nyingine.

Rai yetu kama MJUMBE BLOG wa Tanzania Tujiandae kisaikolojia kwa hilo.



Tunashukutu kwa Kututembelea.
04 Feb 2015

About Author

Advertisement

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top