Baada ya aliye kuwa Waziri mkuu wa UDOM kufukuzwa moja kwa moja chuo! Na kumsimamisha chuo kwa muda usiojulikana aliye kuwa rais wa UDOM mwezi ulio pita.
Juzi uongozi wa UDOM ume amua kumtimua aliye kuwa spika wa serikari
Pichani ni ndugu Mesanga Thobias akiwa pungia mkono wenzake mara baada ya kufukuzwa kama ishara ya kuwa aga wenzake.
MJUMBE BLOG
Tunakushukuru kwa kutupa fursa tuku hudumie.
Post a Comment