Unknown Unknown Author
Title: TASWIRA KUTOKEA KIJIJINI:VIAZI VITAMU hivi....!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pichani ni akina mama kama walivyo kutwa na 'MTEMBEA BURE WETU' kijijini Amani,Ludewa wakipandikiza tambazi! Haiyumkiniki kuna wa...

Pichani ni akina mama kama walivyo kutwa na 'MTEMBEA BURE WETU' kijijini Amani,Ludewa wakipandikiza tambazi!

Haiyumkiniki kuna wanao amini kuwa Mbegu ya Viazi vitamu ni Viazi vyenyewe....!

Pichani ni Ushahidi kuwa Ili Upate viazi vitamu ita kugharimu ULIJUE TAMBAZI PIA! Na sio tu kulujua,bali upandikize kwa Ustadi!

Na akina mama hao wali sema Kupanda viazi,sharti upate tuta lenye kuenea Tambazi!!

Kuna Mzee mmoja ame wahi mwambia Mdau mwenza wa MJUMBE BLOG kuwa "HIZI NDIZI UNAZO KULA LEO,NI MATOKEO YA ILE MIGOMBA NILIYO KUWA NIKIWEKEA SAMADI Siku zile..."
Nadhani alitaka aseme SIJA ZITOA ULAYA WALA MLIMANI CITY!!
Maana wabongo ipo siku tuta nunua Migagi Iliyo vunwa Ulaya...!

Naam!
Tambazi ni Viazi vitamu vilivyo kosa tuta!



MJUMBE BLOG
Tunakushukuru kwa kutumia huduma zetu.
Karibu tena.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top