BREAKING NEWS:MTOTO WA MIEZI 9 ANUSURIKA ACCIDENTI BASI LA MAJINJA...
Basi la abilia la kampuni ya mabasi ya Majinja limepata accidenti mbaya leo asubuhi likitokea Mbeya kuelekea Dar eneo la Mafing na Watu 41 wamekufa, 22 wajeruhiwa leo baada ya basi hilo kugongana na lori kabla ya kuangukiwa na kontena Mafinga, Polisi Iringa yathibitisha.
Chanzo cha accidenti hio ni mwendokasi wa magari hayo na kukwepa mashimo ya barabara na hivyo kupelekea Lori kuligonga basi hilo na kulilalia
Uokoaji wa maiti na majeruhi walionasa kwenye ajali hapa eneo la tukio unazorota kutokana na ukosefu wa Gesi ya kukata basi kukosekana Mafinga. Juhudi zinafanyika ili kuweza kuokoa majeruhi pamoja na maiti.
Abiria walionusurika/majeruhi hali zao ni mbaya sana na haijulikani kama watafika Hospitali ya Makambako wakiwa wazima kwa sababu wanapumua kwa shida na wana wajeraha makubwa sana.
Mjumbe jr
Post a Comment