Unknown Unknown Author
Title: ELASTO MBELLA NGAYA;APATA USHINDI MWEMBAMBA! USHINDI WAKE WAFUNGA KIJIWE...!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pichani ni Tofauti nyembamba ya pointi iliyo mpa ELASTO MBELLA Ushindi. Pichani ni baadhi ya Wachezaji wa mchezo huo wa SCRABBLE Wakiwa ...

Pichani ni Tofauti nyembamba ya pointi iliyo mpa ELASTO MBELLA Ushindi.


Pichani ni baadhi ya Wachezaji wa mchezo huo wa SCRABBLE Wakiwa wana saka fursa ya kutwaa ushindi huo.

Ulikuwa ni Miongoni mwa Michezo ulio vuta watazamaji wa kutosha pembeni....
Hii ni kutokana na Tambo,Majigambo,Umwamba ulio kuwa ukioneshwa na Wachezaji husika...!
Mara ikawa Saa zika baki dakika na Muda uli wadia kila muhusika akiwa amejiandaa vya kutosha...!

Mchezo ulipo anza kila mmoja ana kaa kimya...
Unapo zidi kuchanja mbuga sura zinazidi kubadilika...
Hata mwisho anatangazwa mshindi....
Na kwakua ahadi ilikuwa mshindi awekwe wazi basi ikawa hivyo ELASTO MBELLA akatangazwa!

MCHEZO wa "SCRABLE" Ni miongoni mwa michezo ambayo Inahitaji Umakini wa hali ya juu...

Ni Mchezo unao mfanya mchezaji ajiongezee hazina ya maneno ya Lugha ya kingereza...

Hukuza mshikamano kwani ndani ya mchezo huibuka makundi hasimu ambayo huvutana vikali ili kutwaa ushindi....

Ni mchezo huu ambao pia kuna BENCHI au KAMATI za Fitina...
Zile kamati za ' BORA TUKOSE WOTE' Utazishuhidia wakati mchezo ukiendelea!

Mchezo una weza uka ibua hisia hasi atakapo shindwa ambaye huwa ana amini yeye ndiye ana weza...
Anapo ibuka mpya huzua Mpasuko mkali.


Ni sehemu nzuri ya kupumzisha akili huku ukipoteza muda kwa KUFIKIRI Kwa bidii...

Hapa kuna wakati hata kichwa kinauma kwa KUFIKIRISHWA Upesi na kwa Ushindani maana kila neno Utakalo unda lime pewa THAMANI yake kadri utakavyo kuwa na misamiati mingi ndivyo Utakavyo jihakikishia Ushindi.


MJUMBE BLOG Tuna wahamasisha Wazazi wanao tamani watoto wao wawe wenye misamiati mingi na wapoteze muda kwa faida wawatafutie UWANJA Huo wa SCRABBLE....

Kwenye Mchezo husika kuna Kamusi lazima iwepo pembeni ili inapo tokea kuna neno linatiliwa shaka;Kamusi hutumika kama rejea.


USHINDI huu ulitolewa kama zawadi kwa MJUMBE BLOG.

Tuna uweka hapa kama ishara ya kuupokea Na kutambua BIDII NA UWEZO WA PEKEE alio uonyesha mdau mwenza wa blogu hii...

Hata kupenyeza kileleni kwa ushindi ulio waacha nyuma Wakongwe wa LUGHA ya KINGEREZA,Walimu na Wakosoaji wake wakubwa! Jambo ambalo halikuwahi kutegemewa kutokea kirahisi kutokana na Mazoea ya WACHEZAJI NA MASHABIKI!!

Kwa pamoja tuna sema
HONGERA MJUMBE MTAZAMAJI;Kwa Ushindi!!

"MCHEZO NI FURAHA;NA ASIYE KUBALI KUSHINDWA SIO MSHINDANI".

Naam;
Ushindi mwembamba wa mdau mwenza wa MJUMBE BLOG 10 SEPTEMBA 2014~Amani Ville;Ulifunga kijiwe cha SCRABBLE! Ukafunga tambo...! Hata leo ni Mwezi Machi 2015 Hakuna aliye thubutu hata kuuomba mechi ya Kirafiki...
Maana Matokeo yana weza kuwa vila ambavyo hauku tarajia zaidi...!

Kama haukujiandaa Kisaikolojia KUSHINDWA...
Mwisho utatamani Ufiche kete au Uvuruge mchezo.



Wa salaam;

Timu ya MJUMBE BLOG



MJUMBE BLOG
Tuna shukuru kwa kutupa Fursa ya kukuhudumia.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top