MASHUJAA 66 WA VITA YA MAJI MAJI WAKUMBUKWA!
Pichani juu ni eneo la kumbukumbu la kaburi moja walipo zikwa mashujaa 66 walio pigana vita ya maji maji zidi ya wajerumani
Sehemu ya umati wa wananchi na wanajeshi walio jitokeza kwa ajili ya kuwa enzi Mashujaa walio pigana vita vya majimaji zidi ya Mjerumani.
Ambapo ina aminika kuwa katika vita hiyo zaidi ya Mashujaa 66 walizikwa katika kaburi moja.
Kumbukumbu hizo zilifanyika eneo yalipo makaburi hayo siku ya 27 Februali 2015.
Eneo hilo pia lipo kaburi la Chifu Songea,kiongozi aliye wahi kuwa
Picha na Paul Mbwama,Songea mbano.
Sisi kama MJUMBE BLOG tuna amini kuwa NAJINA YENU yame andikwa kwa wino wa dhahabu.
Kwani katika dhama zenu Muliweza kutimiza wajibu wenu hata kujitoa Nafsi zenu ili tu sisi leo Tuishi ndani ya TANZANIA hii.
PUMZIKENI KWA AMANI MAKAMANDA...!
Maana ime andikwa kila bafsi ita onja mauti.
Ninyi mbele sisi twaja.
MJUMBE BLOG
Tunasuhukuru kwa kutupa fursa ya kukuhudumia.
Karibu tena.
Post a Comment