Unknown Unknown Author
Title: KADA WA CHADEMA KIJIJI CHA MLOWO APIGWA NA KUPORWA FEDHA!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pichani ni Mwalim Pascal Haonga akiwa katika chumba alicho lazwa Onesmo Tanganyika,Ambaye ni Katibu CHADEMA kata ya Mlowo. Katika hali ...

Pichani ni Mwalim Pascal Haonga akiwa katika chumba alicho lazwa Onesmo Tanganyika,Ambaye ni Katibu CHADEMA kata ya Mlowo.



Katika hali ya sinto fahamu;Katibu wa CHADEMA kata ya Mlowo,Mbozi ndugu Onesmo Tanganyika ame vamiwa na watu wasio julikana nyumbani kwake na kupigwa vibaya!
Tukio lililo msababishia Avunjike mbavu na kuumia mguu vibaya.

Waharifu hao wame fanikiwa kupokonya na fedha Tasrimu Laki Tano kwenye tukio hilo.

Mtoa Taarifa Pascal Haonga,aliye fika eneo alilo lazwa majeruhi amethibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa facebook hivi punde.

MUNGU amupunguzie maumivu na kumponya mapema Ndugu Onesmo Tanganyika;Ili aendelee na shughuli zake za kawaida za kujenga Taifa na jamii yake.
AMENI.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top