![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi3WLlb0vZjBx413zS4XbEx1EMl5AfEsxUvyDBvvPeTaFo20eFKQ1IoJLKFIrPgillbMMctt67aqbBrDJcve9AEYNKFqLdRwt5xGZGaTiNUVLKvIPT43Hh-6nxDIpmaSF4O9oC-U_OA6dCP/s640/1430630806763.jpeg)
Akiwa ame twaa mkanda tena kwa wingi wa point!
Katika raundi 12 Mayweather ame nyakua Point
118,110,116,112,116!
Akiwa ana onekana kucheza mchezo kwa mahesabu na umahiri ulingoni bila papara ya mashambulizi aliyo kuwa aki yapata!
Mayweather alionesha kwa vitendo kuwa baada ya yeye kwenye Ulimwengu wa masumbwi hakuna mwingine!
Huu ni ushindi wa 48! Bila kupoteza pambano.
Kwa Mchanganuo huu:
Pacquiao punches 178
Reach and hit 157
Points 111
Mayweather punches 153
Reach and hit 134
Points 117
Is this even possible???????????
HONGERA! MAYWEATHER na TMT nzima.
MJUMBE BLOG
Ni Ukurasa wa Habari,Picha,Matukio,Matangazo.
#KUJERUHI hisia za watu/mtu si Kusudi letu.
MAONI PIGA:0752025002
Post a Comment