Unknown Unknown Author
Title: MAGUFULI AFANYA UKAGUZI BARABARA YA BAGAMOYO_MSATA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akikagua sehemu ya juu ya Daraja la Kariakoo katika eneo la Ruvu Chini katika barabara ya Bagamoy...

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akikagua sehemu ya juu ya Daraja la Kariakoo katika eneo la Ruvu Chini katika barabara ya Bagamoyo-Msata

 Sehemu ya Daraja la Kariakoo katika eneo la Ruvu chini katika mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo-Msata ukiendelea kujengwa.

 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akikagua sehemu ya chini ya daraja la Kariakoo.

 Mkandarasi wa Barabara ya Bagamoyo-Msata kushoto  akitoa maelezo ya Mradi wa Madaraja katika eneo la Ruvu Chini Mkoani Pwani huku Waziri wa Ujenzi Dkt. Magufuli akimsilikiza kwa makini.


Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akishuka ngazi mara baada ya kufanya ukaguzi wa Daraja la Kariakoo  katika barabara ya Bagamoyo-Msata mkoani Pwani.
Picha zote kwa Hisani ya Kitengo cha Mawasiliano  Serikalini-Wizara ya Ujenzi.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top