Unknown Unknown Author
Title: MBOZI KUME KUCHA:ALBERT CHENZA ACHUKUA FOMU!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pichani juu mwenye kofia ni Albert Chenza akichukua fomu ya ugombea!! "...WAKATI NI SASA..." Ni maandishi yenye ujumbe mzito...

Pichani juu mwenye kofia ni Albert Chenza akichukua fomu ya ugombea!!


"...WAKATI NI SASA..."

Ni maandishi yenye ujumbe mzito yaliyo isindikiza picha yake kwenye Ukuta wake.

Timu yetu ya MJUMBE BLOG ina jaribu kumutafuta Ndugu Albert Chenza,ili aondoe utata wa maelezo ya picha yake!

Kwani mpaka sasa hakujatoa ufafanuzi rasmi kamili wa kama naye ni mtia nia au la!

Japo Ripota wetu ame jaribu kuongea na watu wake wa karibu wamesha thibitisha hilo na wame weka bayana kuwa ame lenga kugombea nafasi hiyo ambayo bado haija tajwa kupitia CHADEMA,jimbo la Mbozi.

MJUMBE BLOG tuna endelea kuwasiriana na Ndugu Albert Chenza,ambaye ame ahidi kutolea ufafanuzi wa nini Nia yake na dhamira kwa Wananchi,wa Vwawa Mjini.



Tuta kuletea Mahojiano yetu hapa punde tutakapo pata Ufafanuzi zaidi.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top