Unknown Unknown Author
Title: TATIZO LA MAFUTA KUISHA LEO;ATAKAYE KATAA KUUZA HAUZI FAINI MIL 20!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Na:East Africa Television Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mh.Charles Mwijage amesema atakaekutwa amekataa kuuza mafuta faini yake ni ...

Na:East Africa Television

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mh.Charles
Mwijage amesema atakaekutwa amekataa kuuza
mafuta faini yake ni mil. 20, lakini pia Spika
asema tatizo la kukosekana kwa mafuta litakuwa
limeisha leo. Mbali na matatizo hayo Mkurugenzi
mkuu wa Ewura atangaza bei mpya ya mafuta
inayoanza leo tarehe 1.
Mafuta ya petrol yaongezeka bei kwa shilingi 232
kwa lita, disel 261, mafuta ya taa 369 kwa kila
lita.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top