Asubuhi ya jana gari aina ya Noah IT Iliyo tokea Dar kuelekea Tunduma;eneo la mama John Mbeya yame vaana na Bus aina ya Al saed lenye namba za usajili T 830 BQG lili gongana uso kwa uso na kusababisha kujeruhiwa kwa madereva wote ambao majina yao hayakupatikana mara moja.
Mara baada ya ajali hiyo madereva wote walikimbizwa hospitalini kwa ajili ya kupewa huduma ya kwanza kutokana na majeraha waliyo yapata.
Chanzo cha ajali kina semekelana kuwa ni mwendo kasi na kukosa umakini barabarani.
Post a Comment