Unknown Unknown Author
Title: MGIMWA ATEKELEZA AHADI ZAKE KWA KIWANGO CHA JUU!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ahadi za mbunge Godfrey Mgimwa wa jimbo la Kalenga kupitia CCM ambazo zimetekelezwa na zisizotekelezwa  1: kata ya Kiwere : mradi wa umem...

Ahadi za mbunge Godfrey Mgimwa wa jimbo la Kalenga kupitia CCM ambazo zimetekelezwa na zisizotekelezwa 

1: kata ya Kiwere : mradi wa umeme vijiji vya Mgera ,kitapilimwa,Mfyome unaendelea
Mradi wa Maji, Mfyome na kiwere unaendelea,Bati 80 shule ya msingi Kiwere,Bati 50 Itagutwa,vikundi vya vicoba kata ya kirewe vimepewa Tsh milioni 3,ujenzi wa maabara shule ya sekondari Kiwere amechangia milioni 2 ujenzi wa bweni sekondari ya Kiwere amechangia Tsh milioni 1

2:Kata ya Nzihi : shule ya Dintyus sekondari amechangia Tsh milioni 2,saruji mifuko 100,Tsh milioni 2 ujenzi wa maabara shule ya sekondari Kidamali na mifuko 50 ya saruji, Tsh 400,000 kwa timu ya daraja la tatu ngazi ya Mkoa 

3:ULANDA:
Shule ya msingi Lukwambe Bati 100, ujenzi wao kituo cha afya Mlangali mchango wa Tsh 250,000
mradi wa maji kijiji cha Mwambao,kijiji cha Weru ,mradi wa umeme Kijiji cha Ibangamoyo ,Kibebe na Weru 
Mchango wa Tsh milioni 2 ujenzi wa maabara Shule ya sekondari Kalenga

4:KALENGA : shule ya msingi amechangia Tsh 660,000 kwa ajili ya ujenzi wa vyoo vya wanafunzi,Bati 50 na mabelu ya nguo za yatima Tosamaganga vyote vikiwa na thamani ya Tsh milioni 3.5
Amechangia Tsh milioni 2 ujenzi wa maabara Sekondari ya Lipuli ,mifuko 50 ya Saruji,Vicoba kijiji cha kalenga Tsh 500,000 pamoja na vifaa vya michezo kwa vijana 

5: MSEKE:

Shule ya msingi Ugwachanya Bati 60  , shule ya msingi Sadani Bati 60 na saruji 50 na Tsh milioni 1, shule ya msingi Makota Bati 50 Mseke sekondari Tsh milioni 2 ujenzi wa maabara,kikundi cha Sliki Tanangozi Tsh 700,000 
Mradi wa umeme kijiji cha Wenda unaendelea

6 : LUHOTA :
Shule ya msingi Wangama Bati 50 na saruji 50, kikundi cha siliki Tagamenda Tsh 500,000 na Luhota sekondari Tsh milioni 2 kwa ajili ya ujenzi wa maabara

7: MAGULILWA :

Shule ya msingi Nega B Bati 100,kijiji cha Mranda Bati 80, mradi wa umeme Nega B  na Magulilwa unaendelea, shule ya msingi Ng'enza Saruji mifuko 50 ,Visiwa viwili vya maji na  shule ya sekondari Muwana Tsh milioni 2 ujenzi wa maabara.

8: LYAMGUNGWE: 

Kijiji cha Malagosi Bati 80 za ujenzi wa zahanati,kijiji cha Lupembelyasenga saruji 50 , mradi wa umeme Wenda,Kikombwe,Ismila na maji kijiji cha Kikombwe unaendelea 
Kuchangia Tsh milioni 2 ujenzi wa maabara shule ya sekondari Ismila

9:MGAMA:
Shule ya msingi Mgama Bati 100 na Tsh milioni 2 kwa ajili ya ujenzi wa maabara, shule ya msingi Ibumila Bati  50 na saruji 50 ,shule ya msingi Itwaga saruji 20, shule ya msingi Luhato madawati 30 na mradi wa umeme kijiji cha Mgama unaendelea

10:IFUNDA

Shule ya msingi Mibikimitali Bati 50, Shule ya msingi Udumuka saruji 100,kijiji cha Mfukulembe Bati 50 ,shule ya sekondari Lyandembela milioni 2 ujenzi wa maabara na Shule ya sekondari Lyasa Tsh milioni 2 

11: Lumuli 

kijiji cha Isupilo Bati Bati 50 ,kijiji cha Muwimbi Bati 80 ,Lumuli sekondari Tsh milioni 2 ujenzi wa Maabara,mradi wa umeme Isupilo,Itengulinyi,mradi wa maji Isupilo ,Itengulinyi na Lumuli inaendelea pia kivuko cha barabara ya Itengulinyi - Magunga kimekamilika

12:WASA

Shule ya msingi Usengelendeti Bati 100,Mahanzi Bati 80,WASA sekondari Tsh milioni 2 ujenzi wa maabara,mradi wa umeme unaendelea

13:MABOGA

Shule ya msingi  chamgogo Bati 50 , Shule ya msingi Kidilo bati 50, Shule ya  sekondari Kiponzero Milioni 2 ujenzi wa maabara , barabara ya Magunga - Makota umekamilika,shule ya msingi Makombe saruji mifuko 50 pia mradi wa umeme Kiponzero unaendelea. 

Kalenga kuna jumla ya kata 13 ila sasa ni kata 15 ambazo zimetokana na kata hizo 

JUMLA YA PESA iliyotumika ni zaidi ya Tsh milioni 110 kwa mwaka mmoja 


"AHADI AMBAZO BADO KUTEKELEZWA 

1: vicoba IFUNDA Tsh milioni 1
2: shule ya wasichana IFUNDA Bati 100
3: Kanisa la Lutherani Ifunda kibaoni Tsh milioni 1

4: Shule ya sekondari Lyandembela  Bati 60

Huyu ndio mbunge wa jimbo la Kalenga mh Godfrey Mgimwa aliyeongoza jimbo kwa mwaka mmoja pekee toka mwezi April mwaka jana hadi Leo baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Dr Wiliam Mgimwa kufariki dunia 

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top