TAHADHARI KWA WATUMIAJI WA MITANDAO...!
Kumekua na wimbi la uhalifu Mtandao aina ya (Clickjacking unao fanana na cross-site scripting) - Unao sambaza picha zisizo rafiki katika walls za wengine ( Mara nyingi Muhusika anakua haoni hadi aambiwe) Ushauri ni Kua Uonapo Video Hizo Mjulishe muhusika ili aweze kubadili Password yake na kutoa taarifa facebook.
Pia Wewe uonae Usi Click (Bonyeza) kwani Kwa kufanya hivyo na wewe utakua umeathirikia.
Siku Njema
- Yusuf Kileo
Post a Comment