![](https://scontent.xx.fbcdn.net/hphotos-xfp1/v/t1.0-9/11892201_850316535065161_3794872123374435087_n.jpg?oh=8fbc82d315431be0b33c35295cf5742c&oe=56795701)
Moja ya kifaa cha Kisasa kabisa aina ya Drone ambacho kilikua kikitumika kupiga picha kutoka anagani ambacho kimekuwa kivutio kikubwa kabisa kwa wakazi wa jiji la Dar Es Salaam leo katika viwanja vya jangwani
DRONE COPTER
HIka kakifaa ni maalum kwa kuchukua picha za kila namna kakiwa angani.
Kanazunguka hewani kwa kutumia mfumo wa kompyuta kwa masaa uyatakayo.
Wanaofahamu zaidi kukahusu watupe TIPS zaidi.
Huu ndiyo ulimwengu wa teknolojia.
JM.
Huu ndiyo ulimwengu wa teknolojia.
JM.
Post a Comment