Dk. Willibrod Slaa kurejea katika majukumu ya kichama.
Habari kutoka kwa mtu wa karibu kabisa anasema "Mchana wa leo viongozi wakiagana na KATIBU Mkuu Dr Slaa,akiendelea na mapumziko yake ,hapa Dr akiwa na viongozi wenzake Meya wa Moshi Mh Jafary,Meya wa Musoma mjini,mzee Ndesa ,katibu wetu yupo mzima kutokana na majukumu ya kupitisha majina ya wabunge huenda akarudi mapema ofisini"
Post a Comment