Pichani ni mgombea wa urais kwa tiketi ya UKAWA ndugu Edward Lowassa akimnadi Mgombea ubunge jimbo la Mbozi ndugu Pascal Haonga
Pichani ni Mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Freeman Mbowe alipo tua kijijini Itaka Mbozi 17 oktoba 2015 akiwa na Mgombea urais Edward Lowassa na aliye kuwa muasisi wa CCM ndugu Kingunge Ngombale mwilu aliye rudisha kadi na kujiunga na wanamabadiliko.
Pichani ni sehemu ya umati ulio jitokeza kumpokea Mgombea urais kwa tiketi ya UKAWA ndugu Edward Ngoyai Lowassa kijijini Itaka
Mgombea urais kwa tiketi ya UKAWA Mhe Edward Lowassa akipokelea na mgombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA ndugu Pascal Haonga kijijini Itaka,Mbozi.
Wananchi wa kijiji cha Itaka Mbozi wakiwa wame tandika Khanga na Vitenge vyao ili Mgombea Urais ndugu Edward Lowassa atakapo tua apite juu yake kama baraka na ukarimu wao kwake
Pichani ni Mhe. Edward Lowassa akiingia kwenye Chopa tayari kwa kuwa aga wana Mbozi kijijini Itaka
Post a Comment