Unknown Unknown Author
Title: PICHA SABA:MBUNGE WA JIMBO LA MBOZI PASCAL HAONGA;AWAFARIJI WAHANGA ZAIDI YA 30 WA MAAFA YA MVUA SIKU TISA TU BAADA YA KUAPISHWA KWAKE!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pichani ni mbunge wa jimbo la Mbozi ndugu Pascal Y Haonga akikabidhi sehemu ya bati alizo zitoa kama kutoa pole kwa wahanga wa maafa ya M...
Pichani ni mbunge wa jimbo la Mbozi ndugu Pascal Y Haonga akikabidhi sehemu ya bati alizo zitoa kama kutoa pole kwa wahanga wa maafa ya Mvua katika kitongoji cha Ilongoti,Hampangala Mbozi jioni jana tarehe 03 Disemba 2015,Alhamisi.
Ndugu Pascal Y Haonga akisisitiza jambo kwa viongozi wa kijiji cha Hampangala kabla ya kuwa kabidhi wahanga wa maafa ya Mvua kitongojini hapo.
Pichani katibu wa Mbunge ndugu Mwalusanya Wilfred akifafanunua jambo kwa Mbunge na viongozi wa kijiji kabla ya utoaji wa kifuta machozi kwa wahanga wa mvua.
Pichani ni wananchi wa kkitongoji cha Ilongoti wakishusha sehemu ya bati za zilizo tolewa kama msaada wa bati kwa wahanga wa ajali ya mvua kijijini hapo

Pichani juu ni wananchi wakifurahia msaada walio pewa na ndugu Pascal Y Haonga ambaye ni Mbunge wa jimbo la Mbozi waki mshukuru kwa mchango wake huo ambao ume wagusa moja kwa moja wahanga hao.


Mheshimiwa Pascal Y Haonga amejitolea bati zenye thamani ya shilingi milioni Moja na laki mbili na Arobaini kwa wahanga 32 wa walio kumbwa na maafa hayo ya mvua iliyo tokea tarerehe 12 Novemba 2015 na kusababisha uharibifu mkubwa wa miundo ,binu kwa wanakijiji hao,ambapo pamoja na kuharibu makazi yao,taasisi kama shule ya Sekondari Hampangala majengo mawili yenye vyumba vitatu yali halibiwa vibaya na mvua hiyo.



Na Mpiga Picha wetu.
MJUMBE BLOG

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top