BOMOABOMOA KINO YASIMAMISHWA: Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi imetoa uamuzi wa kuitaka serikali kusimamisha zoezi la bomoabomoa kwa baadhi ya wakazi wa Kinondoni. Uamuzi huo umetolewa baada ya wananchi wa eneo hilo kufungua kesi wakiongozwa na mbunge wa Kinondoni Maulid Mtulia.
"Ndg. Mtulya, Mbunge Kinondoni (CUF) umeweka msingi wa kutetea wananchi wako. Hongera sana kwa hatua muhimu sana ya leo ambayo imeonyesha uwepo wa utawala wa sheria nchini kwetu."-Zitto Kabwe
"Ndg. Mtulya, Mbunge Kinondoni (CUF) umeweka msingi wa kutetea wananchi wako. Hongera sana kwa hatua muhimu sana ya leo ambayo imeonyesha uwepo wa utawala wa sheria nchini kwetu."-Zitto Kabwe
Post a Comment