Pichani ni mwananchi akitoa ufafanuzi wa jinsi wahifadhi wa pori la Isaralo walivyo fika mashambani hapo na kuanza kufyeka mahindi ya wanakijiji hao.
Pichani ni mmoja wa wa athirika wa ufyekaji wa mahindi katika vijiji vya ipapa,nambinzo,akielezea jinsi alivyo pokea hatua waliyo ichukua wahifadhi wa polri hilo.
Pichani juu ni sehemu tu ya mashamba ya mahindi yaliyo fyekwa na wahifadhi hao katika kata ya Nambinzo mnamo tarehe 18 Disemba 2015
Pichani ni wananchi wa kijiji cha Ipapa,kata ya Nambizo wakiwa katika picha ya kumbukumbu na Mbunge wao wa jimbo la Mbozi ndugu Pascal Haonga
Pichani juu ni Mhe.Pascal Haonga alipo wasiri katika Mashmba hayo yaliyo katwa na watu walio jitambulisha kama wahifadhi wa pori la Isalalo tarehe 20 Disemba 2015
Pichani ni Mhe.Pascal Haonga akiongea na Vyombo vya habari kutoka eneo la Tukio siku ya Tarehe 20 Disemba 2015.
Ni katika vijiji vya Nambinzo,Ipapa na Utambalila siku ya tarehe 18 Disemba 2015 wakaaji wake wanashuhudia kitendo cha ufyekaji wa mahindi yao Zaidi ya ekari 200 zinazo daiwa kuwa ni sehemu ya hifadhi ya Isalalo hivyo wao ni wavamizi wa pori hilo la hifadhi,Utekelezaji wa kitendo hicho ulifanywa kwa kushtukiza na watu walio jitambulisha kama askari wa hifadhi ya Isalalo.
...walipo fika katika mashamba haya walianza kuwakusanya wananchi wote walio kuwa pembezoni na ndani ya mashamba haya na kuwa lazimisha wafyeke! Huku wakitukejeli kwa kusema HAPA KAZI TU! alisema moja ya mashuhuda hao.
...tume lima mashamba haya kwa zaidi yamiaka kumi tangu miaka ya tisini,na kuna watu tulisha katia hata hati miliki lakini wame kuja kutufyekea mahindi yetu bila hata taarifa;mwathirika mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja alilalamika.
Afisa mtendaji wakijiji cha Ipapa alipo ulizwa kama alipewa taarifa ya ujio wa wahifadhi hao kijijini kwake alikanusha na kusema,yeye alipewa taarifa kuwa na wananchi kuwa kuna wananchi wake wame kamatwa na wengine wana tafutwa na askari hao.
Mbunge wa jimbo la Mbozi akiongea kutoka kwenye eneo la tukio shambani hapo alisema,
..nashangaa serikari hii ilitoaje vibali vya umiliki aridhi kwenye eneo ambalo leo imekuja kusema ni la hifadhi? Lakini pia busara gani zilitumika kuamua kufyeka mahindi ambayo tayari yalikua yamesha pandwa? Walikua wapi kuzuia wananchi wasipande? Na kama wamefanya uzembe mpaka mahindi yamesha fikia hatua hii,kwanini wasitoe muda kwa wananchi mazao yao yakisha komaa waya ondoe kwani haya sio mazao ya kudumu na hayata chukua hata miezi minne kukomaa?
Serikari hii ndiyo inayo himiza wananchi kuhakikisha wana zalisha mazao ya kutosha lakini leo ime wageuka na kuanza kufyeka mazao yao!
Walio tekeleza uharibifu huu nina waagiza wakome na wayaache mazao ya wahusika mpaka yatakapo vunwa,Kwa kuanza nalo hili hatua itakayo fuata ni kwenda kwa mkuu wa wilaya na kama hata nipa majibu yatakayo jitosheleza nita amkia kwa mkuu wa mkoa kesho kutwa ili anipe ufafanuzi zaidi...
Asubuhi ya tarehe 21 Disemba 2015 ndugu Pascal Haonga alipiga hodi katika ofisi za mkuu wa wilaya ya mbozi alipo ulizwa kuhusu uharibifu huo alijibu hana taarifa hiyo!
Siku chache baada ya taarifa za uharibifu huo kuenea katika vyombo vya habari waziri wa kilimo ndugu Mwigulu Nchemba alisikika akitoa agizo kwa wahusika na kuwataka wakomeshe ufyekaji wa mahindi katika vijiji hivyo.

Post a Comment