
Ajabu! Mchina Zhang Liang amefanikiwa kuvuka bonde la hutiao, kusini mwa China lenye urefu wa mita 60 kwa kutembea juu ya kamba yenye upana wa milimita 2.5. Matembezi yake yalichukua dakika 5 na sekunde 58.
Chanzo:CR Kiswahili
KARIBU MJUMBE BLOG UWE WA KWANZA KUHABARIKA

Post a Comment