Unknown Unknown Author
Title: FARID MUSA WA AZAM AFANYIWA MAJARIBIO HISPANIA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Farid Musa ameongezewa wiki moja nyingine ya majaribio na Club Deportive Tenerife ya nchini Hispania ambako ameenda kusaka mafanikio...
IMG-20160429-WA0004

IMG-20160429-WA0007
Farid Musa ameongezewa wiki moja nyingine ya majaribio na Club Deportive Tenerife ya nchini Hispania ambako ameenda kusaka mafanikio ya soka la kulipwa nje ya Tanzania.
IMG-20160429-WA0006
Yusuf Bakhresa ambaye yuko pamoja na Farid nchini Hispania, ameiambia www.shaffihdauda.co.tz kwamba inavyoonekana mpaka sasa Farid ananafasi kubwa ya kubaki kwenye klabu hiyo.
IMG-20160429-WA0005
Winga mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania na Azam FC Farid Musa yupo Hispaniaanaendelea na majaribio yake ya kutafuta nafasi ya kucheza soka la kulipwa,Farid ameendelea na majaribio yake Club Deportive Tenerife ya Hispania.
Farid amethibitisha kuendelea vizuri kiafya lakini amekaririwa na vyombo vya habari kuwa ana siku ya nne Club Deportive Tenerife ambapo hapo anakaa wiki moja halafu anaendelea na majaribio katika vilabu vingine vya hapo Hispania alivyotafutiwa na wakala wake John Sorzano
Credit:Shaffih Dauda

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top