Unknown Unknown Author
Title: MATUKIO PICHANI:UZINDUZI WA MASHINDANO YA UMISSETA MKOANI MWANZA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mkuu wa mkoa wa Mwanza.John Mongella akipokelewa na viongozi na wadau wa michezo alipowasili uwanja wa CCM Kirumba kuzindua ma...


1
Mkuu wa mkoa wa Mwanza.John Mongella akipokelewa na viongozi na wadau wa michezo alipowasili uwanja wa CCM Kirumba kuzindua mashindano ya COPA UMISSETA
2
Afisa Elimu Mkoa wa Mwanza, Hamis Maulidi akizungumza wakati wa hafla hiyo.
3
Katibu wa Baraza la Michezo la Taifa(BMT), Mohamed Kiganja akizungumza katika uzinduzi wa mashindano hayo.
6
 Meneja masoko wa wa kampuni ya vinywaji baridi ya Cocacola Kanda ya Ziwa, Marco Masaka akizungumza katika uzinduzi huo.
4
5
 7
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella akipiga mpira  kuzindua mashindano ya Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari (COPA UMISSETA)  ambayo yanadhaminiwa  na kampuni ya vinywaji ya Cocacola jana kwenye uwanja wa CCM Kirumba.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top