Pichani ni watahiniwa watarajiwa wa kidato cha Sita Katika shule ya Mwal.J.K nyerere Tunduma,Songwe.
Naam,
Maisha ni hatua vitado sita sio haba.
MJUMBE BLOG tunachukua fursa hii kuwatakia kila la kheri wahitimu wa kidato cha sita katika mitihani yao.
Mwenyezi MUNGU aweawezeshe mtoe kile mlicho jifunza.
Wenu Mkereketwa wa Elimu,
MJUMBE sr7
Asante ya Picha Na Deo Mwakasyuka
Post a Comment