Unknown Unknown Author
Title: TUME KUWEKEA TAARIFA RASMI:KUHUSU KIFUNGO CHA KATIBU WA MBUNGE JIMBO LA MBOZI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pichani wapili kutoka kulia ni katibu wa Mbunge Ndugu Wilfred Mwalsanya,wapili kutoka kulia ni Mbunge wa Jimbo la Mbozi Ndugu Paschel Haon...

Pichani wapili kutoka kulia ni katibu wa Mbunge Ndugu Wilfred Mwalsanya,wapili kutoka kulia ni Mbunge wa Jimbo la Mbozi Ndugu Paschel Haonga.

Kume kuwepo na Uvumi unao enezwa na baadhi ya watu kuwa katibu wa Mbunge Jimbo la Mbozi amehukumiwa kifungo,

Alischo kiandika yeye kwenye ukurasa wake hiki hapa "....NIPO HURU NA NAENDELEA NA MAJUKUMU
UNAFIKI NI MBAYA JAPO UNALIPA,...."

Salamu zako nimezipata Ndugu *****( Anamtaja kwa jina mhusika) Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya.....
Umetangaza kifungo changu na nimekupa nafasi ueneze hilo.
Vipi ni huru au sipo Huru.
Au wamehack akaunti yangu ya Facebook?
Sikuandika chochote ili maandiko yako yatimie.
Vikao vyenu mbona vinavuja!!!!!!

Asante kwa maombi yenu wadau, bila kujalisha ni Chanya au Hasi, Mungu huyapokea sana hasi na kuwajibu kwamba yeye pekee ndo mpangaji wa maisha yetu.

Pichani ndugu Mwalusanya akiendelea na shughuli zake za kila siku uraiani kuwa tumikia wana Mbozi
Hii hapa ndiyo Taarifa halisi ya Siku ya Hukumu aliyo iweka kwenye Ukurasa yake kwa umma 

ASANTE KWA MAOMBI YENU.
'Hukumu ya kesi imeshatolewa na nimeamuriwa kulipa shilingi elfu sitini za kitanzania (60,000) ambayo hakimu yeye binafsi amesema ni onyo, nashukuru pia hakimu ameyashinda maagizo.
Asante tena asante kwa maombi yenu manake kuliwa na mashinikizo mengi sana kutoka kwa baadhiya viongozi'.

"Kuna watu watatoka lakini Mbozi yetu itabaki tu, na wanambozi watabaki hapa hapa"

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top