Unknown Unknown Author
Title: WATENDAJI WA NHIF WASIMAMISHWA KWA UBADHIRIFU WA FEDHA...!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
WAZIRI UMMY MWALIMU AWASIMAMISHA WATENDAJI WA NHIF KWA UBADHIRIFU WA FEDHA . ! Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee...
IMG_0724
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu (pichani) amewasimamisha kazi kupisha uchunguzi kwa watendaji Wakuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa ubadhirifu wa fedha za mfuko huo kwa Mkoa wa Mara.
New Doc 1_1New Doc 1_2

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top