Unknown Unknown Author
Title: AFRIKA HAITA ISHA VITUKO:NAIBU WAZIRI AFUKUZWA KAZI KWA KUPIGA PUNYETO OFISINI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amemfukuza kazi Naibu Waziri wa Habari na Mawasiliano Bw.Enock Ruberangabo Sebinez...

Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amemfukuza kazi Naibu Waziri wa Habari na Mawasiliano Bw.Enock Ruberangabo Sebineza, kutokana na kuvuja kwa video inayomuonesha akipiga Punyeto ofisini. Video hiyo ya dakika 4 na sekunde 27 inamuonesha Waziri huyo akivua suruali na nguo ya ndani kabla ya kupiga punyeto hadi ku-ejaculate.
Waziri huyo mwenye umri wa miaka 54 ni Mtutsi wa jamii ya Banyamulenge na amekuwa Waziri katika serikali ya Rais Kabila kwa muda mrefu. Amekuwa pia Rais wa Jumuiya ya wabanyamulenge waishio nchini Congo, na Naibu Spika katika Bunge la Mpito la mwaka 2003 hadi 2006. Ni mtu anayeheshimika sana nchini humo.
Rais Kabila na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Matata Ponyo wamekuwa katika shinikizo kubwa la vyombo vya habari na mitandao ya kijamii vikiwataka kumfukuza kazi Waziri huyo tangu video yake ilipoanza kusambaa mitandaoni wiki iliyopita. Vyombo vya habari vilianzisha kampeni iliyopewa jina ‪#‎SebinezaMustGo‬ katika kushinikiza Kabila kumfuta kazi WaziriSebineza.!


Malisa Godlisten

‪#‎MyTake‬
Nakumbuka maneno ya Trump aliyokopa kutoka kwa Rais P. W. Botha kwamba "Waafrika ni wavivu, walevi na wapenda ngono. Jambo pekee waafrika wanaloweza kulifanya kwa ufanisi ni ngono maana wanaiwaza muda wote". Je unadhani kwa tukio la Waziri huyu maneno ya Trump ya ukweli wowote?

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top