Unknown Unknown Author
Title: UJUMBE WETU LEO:KAMA TUNGE FANYA HAYA TUNGE KUWA MATAJIRI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Nguvu tunazo tumia wanaume kutafuta Wachumba bila kukata tamaa,kama tunge zitumia kutafuta utajiri,90% tunge kuwa mabilione. Eric Shigo...



Nguvu tunazo tumia wanaume kutafuta Wachumba bila kukata tamaa,kama tunge zitumia kutafuta utajiri,90% tunge kuwa mabilione.
Eric Shigongo

Vile vile
"nguvu tunazo tumia kutafuta fedha ya kulipia kodi kwenye vyumba tulivyo  panga,tunge ziwekeza kwenye kufikiri jinsi ya kujenga nyumba zetu,Tunge kuwa wapangishaji pia!
Elasto Mbella Ngaya

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top