WABUNGE WA CCM ZANZIBAR WAPIGA MBOJI BUNGENI HUKU HOJA MUHIMU KUHUSU ZANZIBAR ZIKIJADILIWA.
Aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) wakati wa Uongozi wa Dkt. Salmin Amour Juma, msemaji wa zamani wa Chama Cha Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFA) wakati wa Uongozi wa Ali Ferej Tamim, mtangazaji wa zamani wa Sauti ya Tanzania Zanzibar (STZ) ambaye kwa sasa ni Mbunge wa kuchaguliwa na wananchi katika Jimbo la Uchaguzi la Dimani (CCM), Mheshimiwa Hafidh Ali Tahir, akifuatilia kwa 'umakini' uliotukuka mjadala wa hotuba ya bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria, Bungeni Mjini Dodoma.
Chanzo : Mwandishi Wetu

Post a Comment