Unknown Unknown Author
Title: FUNZO KATIKA PICHA:WASICHANA WANGAPI WANA WEZA KUOLEWA NA MWANAME MASIKINI NA ALIYE TOKEA KWENYE FAMILIA DUNI LEO?
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Hii ni kwa wanawake wanao sema siwezi nika olewa na mwamme masikini,Picha hizo hapo juu zilichukuliwamiaka 20 iliyo pita wakati Obama al...



Hii ni kwa wanawake wanao sema siwezi nika olewa na mwamme masikini,Picha hizo hapo juu zilichukuliwamiaka 20 iliyo pita wakati Obama alikua si kitu,Hicho hapo ni kijiji cha Kogello chimbuko la akina Obama,Lakini Michelle bado amejikumbatiza pembeni yake,mpaka alipo kua moja ya taswira maarufu na matajiri duniani.

SWALI:
Je wanawake wangapi wanaweza wakaukubali kuolewa na mwanamme Masikini?

This is to ladies who always say i cant marry a poor man
this pic was taken like 20years ago when Barrack Obama was nothing infact thats Obama's village in Kenya the Village is called Kogello but Michelle stick by her all this while until he became one of the most powerful,Rich and famous person around the world


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top