#Makabidhiano ya #ofisi,Hii leo,nimemkabidhi ofisi ya wizara ya kilimo,Mifugo na Uvuvi Mh.Charles Tizeba(W) tayari kwa kazi ya kulijenga Taifa letu.
Mhe.Mwigulu Nchemba aliyekuwa waziri wa kilimo na mifugo akikabidhi ofisi rasmi,
Picha nyingine
Picha zaidi
Picha ya kumbukumbu ya pamoja Mhe Mwigulu Nchemba akiwa na baadhi ya
Hiki hapa ndicho alicho kiandika mara tu baada ya uteuzi wake kutoka wizara ya kilimo na mifugo na kuhamishiwa wizara ya mambo ya ndani.
Namshukuru sana mungu kwa yote anayoendelea kunitendea katika maisha yangu.
Vilevile napenda kumshukuru Mh.Rais J.P.Magufuli kwa kuendelea kuniamini na kunipa dhamana ya kuongoza wizara ya mambo ya ndani ya nchi.
Usalama wetu ni jukumu letu sote.Naomba ushirikiano wenu katika utekelezaji wa majukumu haya.
Mwiguli Nchemba
Post a Comment